wrbwo

Barua pepe:ps@maji.go.tz

|




Katika mfumo huu
unaweza kuomba kibali
kupokea nambari ya udhibiti
na kupokea kibali.

zaidi ya hayo unaweza kupokea arifa
kutoka mabonde ya maji
na kufuatilia maendeleo ya ombi lako.

MFUMO WA TARIFA ZA MATUMIZI YA MAJI


Mfumo Wa Taarifa za Matumizi ya Maji ni mfumo unaotumika kufanya maombi ya kibali cha kutumia au kumwaga maji taka kutoka mamlaka husika kama vile bodi za mabonde ya maji,mamlaka ya maji, au mamlaka ya udhibiti wa maji. Fomu za maombi Pamoja na jumla ya gharama zinapatikana kwenye mfumu ili kuwezesha wateja wanaotaka kufanya maombi ya kupata kipali.Utaratibu mzima wa kufanya mombi ya kupata kibali ambao unahusisha kujaza fomu, malipo ya ada ya maombi, tathimini ya maombi na kupata kibali umewekwa moja kwa moja kwenye mfumo ili kuwezesha mteja kufanya maombi ya kibali bila kufika kwenye ofisi husika. Mteja atapokea taarifa na anaweza kufuatilia hatua ya maombi yake kwa kutumia mfumo.